-
1 Samweli 17:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Kwa hiyo Daudi akaamka asubuhi na mapema na kuwaacha kondoo mikononi mwa mtu mwingine; kisha akapakia vitu hivyo na kwenda kama Yese alivyokuwa amemwamuru. Alipofika kambini, jeshi lilikuwa likienda kwenye uwanja wa vita huku likipiga kelele za vita.
-