1 Samweli 17:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Alipokuwa akizungumza nao, akaja yule Mfilisti shujaa aliyeitwa Goliathi,+ kutoka Gathi. Alitoka katika vikosi vya Wafilisti, akasema maneno yaleyale aliyozoea kusema,+ na Daudi akamsikia.
23 Alipokuwa akizungumza nao, akaja yule Mfilisti shujaa aliyeitwa Goliathi,+ kutoka Gathi. Alitoka katika vikosi vya Wafilisti, akasema maneno yaleyale aliyozoea kusema,+ na Daudi akamsikia.