1 Samweli 17:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 Daudi akaanza kuwauliza wanaume waliokuwa wamesimama karibu naye: “Mtu atakayemuua yule Mfilisti na kuwaondolea Waisraeli aibu atafanyiwa nini? Kwani huyu Mfilisti asiyetahiriwa ni nani hata avitukane* vikosi vya Mungu aliye hai?”+ 1 Samweli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 17:26 w06 5/15 8 1 Samweli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 17:26 Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),Na. 5 2016, uku. 10 Mnara wa Mlinzi,5/15/2006, uku. 8
26 Daudi akaanza kuwauliza wanaume waliokuwa wamesimama karibu naye: “Mtu atakayemuua yule Mfilisti na kuwaondolea Waisraeli aibu atafanyiwa nini? Kwani huyu Mfilisti asiyetahiriwa ni nani hata avitukane* vikosi vya Mungu aliye hai?”+