-
1 Samweli 18:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Pia, Sauli akawaamuru hivi watumishi wake: “Zungumzeni na Daudi kwa siri na kumwambia, ‘Tazama! Mfalme anakupenda, na watumishi wake wote wanakupenda sana. Basi sasa fanya mapatano ya ndoa na mfalme.’”
-