1 Samweli 18:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Daudi alienda na wanaume wake na kuwaua wanaume 200 Wafilisti, na Daudi akamletea mfalme idadi kamili ya magovi yao, ili afanye mapatano ya ndoa na mfalme. Basi Sauli akampa Daudi Mikali binti yake awe mke wake.+
27 Daudi alienda na wanaume wake na kuwaua wanaume 200 Wafilisti, na Daudi akamletea mfalme idadi kamili ya magovi yao, ili afanye mapatano ya ndoa na mfalme. Basi Sauli akampa Daudi Mikali binti yake awe mke wake.+