1 Samweli 19:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Basi Yonathani akamsifu Daudi+ mbele ya Sauli baba yake. Akamwambia: “Mfalme, usimtendee dhambi mtumishi wako Daudi kwa sababu yeye hajakutendea dhambi na mambo aliyokufanyia yamekunufaisha.
4 Basi Yonathani akamsifu Daudi+ mbele ya Sauli baba yake. Akamwambia: “Mfalme, usimtendee dhambi mtumishi wako Daudi kwa sababu yeye hajakutendea dhambi na mambo aliyokufanyia yamekunufaisha.