1 Samweli 19:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Mikali akachukua sanamu ya terafimu* na kuiweka kitandani, akaifunika kwa vazi na kuweka wavu wa manyoya ya mbuzi mahali ambapo Daudi hulaza kichwa chake. 1 Samweli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 19:13 w04 6/1 29 1 Samweli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 19:13 Mnara wa Mlinzi,6/1/2004, uku. 29
13 Mikali akachukua sanamu ya terafimu* na kuiweka kitandani, akaifunika kwa vazi na kuweka wavu wa manyoya ya mbuzi mahali ambapo Daudi hulaza kichwa chake.