1 Samweli 20:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Daudi akamwambia Yonathani: “Kesho ni mwezi mpya,+ na hakika ninatazamiwa kuketi pamoja na mfalme ili kula naye; niache niende, nitajificha shambani mpaka siku ya tatu jioni.
5 Daudi akamwambia Yonathani: “Kesho ni mwezi mpya,+ na hakika ninatazamiwa kuketi pamoja na mfalme ili kula naye; niache niende, nitajificha shambani mpaka siku ya tatu jioni.