-
1 Samweli 20:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
37 Mtumishi huyo alipofika mahali ambapo Yonathani alikuwa amepiga mshale, Yonathani akamwambia hivi mtumishi huyo kwa sauti: “Mshale uko mbele yako!”
-