-
1 Samweli 21:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Je, nimepungukiwa na wenda wazimu hivi kwamba nahitaji mtu huyu atende kiwazimu mbele yangu? Kwa nini ameingia nyumbani mwangu?”
-