1 Samweli 22:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Sauli akasikia kwamba Daudi na watu waliokuwa pamoja naye wameonekana. Wakati huo Sauli alikuwa ameketi kwenye kilima chini ya mti wa mwesheli kule Gibea+ akiwa ameshika mkuki wake mkononi, na watumishi wake wote walikuwa wamemzunguka.
6 Sauli akasikia kwamba Daudi na watu waliokuwa pamoja naye wameonekana. Wakati huo Sauli alikuwa ameketi kwenye kilima chini ya mti wa mwesheli kule Gibea+ akiwa ameshika mkuki wake mkononi, na watumishi wake wote walikuwa wamemzunguka.