1 Samweli 22:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Ndipo Sauli akawaambia watumishi wake waliokuwa wamemzunguka: “Tafadhali sikilizeni, enyi Wabenjamini. Je, mwana wa Yese+ atawapa ninyi nyote pia mashamba na mashamba ya mizabibu? Je, atawaweka nyote kuwa wakuu wa maelfu na wakuu wa mamia?+
7 Ndipo Sauli akawaambia watumishi wake waliokuwa wamemzunguka: “Tafadhali sikilizeni, enyi Wabenjamini. Je, mwana wa Yese+ atawapa ninyi nyote pia mashamba na mashamba ya mizabibu? Je, atawaweka nyote kuwa wakuu wa maelfu na wakuu wa mamia?+