1 Samweli 22:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Naye akamwombea Daudi mwongozo kutoka kwa Yehova na kumpa vyakula. Hata alimpa upanga wa Goliathi yule Mfilisti.”+
10 Naye akamwombea Daudi mwongozo kutoka kwa Yehova na kumpa vyakula. Hata alimpa upanga wa Goliathi yule Mfilisti.”+