-
1 Samweli 22:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Sauli akamwambia: “Kwa nini mmepanga njama dhidi yangu, wewe na mwana wa Yese, kwa kumpa mikate na upanga na kumtafutia mwongozo kutoka kwa Mungu? Yeye hunipinga na kunivizia, kama anavyofanya sasa.”
-