1 Samweli 24:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Baadaye Daudi akainuka na kutoka pangoni, akamwita Sauli: “Bwana wangu mfalme!”+ Sauli alipoangalia nyuma, Daudi aliinama hadi chini kifudifudi na kusujudu.
8 Baadaye Daudi akainuka na kutoka pangoni, akamwita Sauli: “Bwana wangu mfalme!”+ Sauli alipoangalia nyuma, Daudi aliinama hadi chini kifudifudi na kusujudu.