-
1 Samweli 25:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Abigaili alipomwona Daudi, alishuka haraka kutoka juu ya punda na kuanguka kifudifudi mbele ya Daudi, huku akiinama chini.
-