-
1 Samweli 25:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Kisha akaanguka miguuni pake na kusema: “Bwana wangu, acha nibebe lawama; niruhusu mimi kijakazi wako nizungumze nawe, na usikilize maneno ya kijakazi wako.
-