-
1 Samweli 25:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Basi Daudi akapokea vitu ambavyo Abigaili alikuwa amemletea na kumwambia: “Panda uende nyumbani kwako kwa amani. Tazama, nimekusikiliza na nitatimiza ombi lako.”
-