1 Samweli 25:36 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 36 Baadaye Abigaili akarudi kwa Nabali, naye Nabali alikuwa akila na kunywa kama mfalme nyumbani mwake, na alikuwa amechangamka sana* na kulewa kabisa. Lakini Abigaili hakumwambia jambo lolote mpaka asubuhi kulipopambazuka. 1 Samweli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 25:36 w09 7/1 21 1 Samweli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 25:36 Igeni, kur. 80-82 Mnara wa Mlinzi,7/1/2009, uku. 21
36 Baadaye Abigaili akarudi kwa Nabali, naye Nabali alikuwa akila na kunywa kama mfalme nyumbani mwake, na alikuwa amechangamka sana* na kulewa kabisa. Lakini Abigaili hakumwambia jambo lolote mpaka asubuhi kulipopambazuka.