-
1 Samweli 26:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Sauli akapiga kambi kwenye kilima cha Hakila, kilicho ng’ambo ya Yeshimoni, kando ya barabara. Wakati huo Daudi alikuwa akiishi nyikani, akapata habari kwamba Sauli alikuwa amekuja nyikani kumtafuta.
-