1 Samweli 26:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Baadaye Daudi akaenda mahali ambapo Sauli alikuwa amepiga kambi, na Daudi akaona mahali ambapo Sauli na Abneri+ mwana wa Neri, mkuu wa jeshi lake, walikuwa wamelala; Sauli alikuwa amelala ndani ya kambi akiwa amezungukwa na wanajeshi.
5 Baadaye Daudi akaenda mahali ambapo Sauli alikuwa amepiga kambi, na Daudi akaona mahali ambapo Sauli na Abneri+ mwana wa Neri, mkuu wa jeshi lake, walikuwa wamelala; Sauli alikuwa amelala ndani ya kambi akiwa amezungukwa na wanajeshi.