1 Samweli 26:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Ndipo Abishai akamwambia Daudi: “Leo Mungu amemtia adui yako mikononi mwako.+ Na sasa tafadhali, acha nimpigilie ardhini kwa mkuki mara moja tu, wala sitafanya hivyo mara mbili.”
8 Ndipo Abishai akamwambia Daudi: “Leo Mungu amemtia adui yako mikononi mwako.+ Na sasa tafadhali, acha nimpigilie ardhini kwa mkuki mara moja tu, wala sitafanya hivyo mara mbili.”