1 Samweli 26:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Basi Daudi akachukua mkuki na gudulia la maji karibu na kichwa cha Sauli, wakaenda zao. Hakuna yeyote aliyejua wala kuwaona+ wala kuamka, kwa maana wote walikuwa wamelala, kwa sababu walikuwa wameshikwa na usingizi mzito kutoka kwa Yehova.
12 Basi Daudi akachukua mkuki na gudulia la maji karibu na kichwa cha Sauli, wakaenda zao. Hakuna yeyote aliyejua wala kuwaona+ wala kuamka, kwa maana wote walikuwa wamelala, kwa sababu walikuwa wameshikwa na usingizi mzito kutoka kwa Yehova.