1 Samweli 28:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Kwa hiyo Daudi akamwambia Akishi: “Kwa hakika unajua jambo ambalo mimi mtumishi wako nitafanya.” Akishi akamwambia Daudi: “Ndiyo sababu nitakuweka kuwa mlinzi wangu wa kudumu.”*+
2 Kwa hiyo Daudi akamwambia Akishi: “Kwa hakika unajua jambo ambalo mimi mtumishi wako nitafanya.” Akishi akamwambia Daudi: “Ndiyo sababu nitakuweka kuwa mlinzi wangu wa kudumu.”*+