-
1 Samweli 28:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Mfalme akamwambia: “Usiogope, lakini unaona nini?” Mwanamke huyo akamjibu Sauli: “Ninaona mtu fulani kama mungu akipanda kutoka duniani.”
-