-
1 Samweli 28:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Papo hapo Sauli akaanguka chini akiwa amenyooka mwili mzima naye akaogopa sana kwa sababu ya maneno ya “Samweli.” Nguvu zikamwishia, kwa sababu hakuwa amekula chakula mchana wote na usiku kucha.
-