-
1 Samweli 29:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Lakini Daudi akamuuliza Akishi: “Kwa nini? Nimefanya nini? Ni kosa gani ambalo umenipata nalo mimi mtumishi wako tangu siku niliyokuja kwako mpaka leo? Kwa nini nisiende pamoja nawe kupigana na maadui wako, bwana wangu mfalme?”
-