1 Samweli 30:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 na pia kipande cha keki ya tini zilizoshinikizwa na keki mbili za zabibu kavu. Baada ya kula, akapata nguvu,* kwa sababu hakuwa amekula chakula chochote wala kunywa maji kwa siku tatu, mchana na usiku.
12 na pia kipande cha keki ya tini zilizoshinikizwa na keki mbili za zabibu kavu. Baada ya kula, akapata nguvu,* kwa sababu hakuwa amekula chakula chochote wala kunywa maji kwa siku tatu, mchana na usiku.