-
1 Samweli 30:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Daudi akamuuliza: “Je, utaniongoza chini kwenye kundi hilo la wavamizi?” Akajibu: “Ukiniapia mbele za Mungu kwamba hutaniua wala kunitia mikononi mwa bwana wangu, nitakuongoza chini kwenye kundi hilo la wavamizi.”
-