-
1 Samweli 30:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Basi akamwongoza chini mahali walipokuwa wameenea kotekote, wakila na kunywa na kusherehekea kwa sababu ya nyara nyingi sana walizokuwa wamechukua kutoka katika nchi ya Wafilisti na nchi ya Yuda.
-