1 Samweli 30:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Kisha Daudi akawaua kuanzia asubuhi kabla ya mapambazuko mpaka jioni siku iliyofuata; hakuna mtu yeyote aliyeponyoka+ isipokuwa wanaume 400 waliopanda ngamia na kukimbia.
17 Kisha Daudi akawaua kuanzia asubuhi kabla ya mapambazuko mpaka jioni siku iliyofuata; hakuna mtu yeyote aliyeponyoka+ isipokuwa wanaume 400 waliopanda ngamia na kukimbia.