1 Samweli 30:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Kisha Daudi akafika kwa wale wanaume 200 waliobaki kwenye Korongo la Besori+ kwa sababu walikuwa wamechoka sana wasiweze kwenda naye, nao wakaja kumpokea Daudi na watu waliokuwa pamoja naye. Daudi alipofika karibu na wanaume hao, akawajulia hali.
21 Kisha Daudi akafika kwa wale wanaume 200 waliobaki kwenye Korongo la Besori+ kwa sababu walikuwa wamechoka sana wasiweze kwenda naye, nao wakaja kumpokea Daudi na watu waliokuwa pamoja naye. Daudi alipofika karibu na wanaume hao, akawajulia hali.