-
1 Samweli 30:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Hata hivyo, kila mtu mbaya na asiyefaa kitu kati ya watu walioenda na Daudi akasema: “Kwa kuwa hawakwenda pamoja nasi, hatutawapa nyara yoyote tuliyochukua, lakini kila mmoja wao anaweza kumchukua mke wake na wanawe na kwenda zake.”
-