-
1 Samweli 31:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 mashujaa wote wakaondoka na kusafiri usiku kucha, wakaondoa maiti za Sauli na wanawe kutoka kwenye ukuta wa Beth-shani. Wakarudi Yabeshi na kuzichoma moto huko.
-