-
2 Samweli 1:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Siku ya tatu, mtu fulani alikuja kutoka katika kambi ya Sauli akiwa amevaa nguo zilizoraruka, na akiwa na mavumbi kichwani. Alipomkaribia Daudi, alijiangusha chini na kumwinamia.
-