2 Samweli 1:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Basi nikamkaribia na kumuua,+ kwa maana nilijua kwamba hangeendelea kuishi baada ya kuanguka chini akiwa amejeruhiwa. Kisha nikachukua taji lililokuwa kichwani mwake na kikuku kilichokuwa mkononi mwake, nami nimevileta hapa kwako bwana wangu.”
10 Basi nikamkaribia na kumuua,+ kwa maana nilijua kwamba hangeendelea kuishi baada ya kuanguka chini akiwa amejeruhiwa. Kisha nikachukua taji lililokuwa kichwani mwake na kikuku kilichokuwa mkononi mwake, nami nimevileta hapa kwako bwana wangu.”