-
2 Samweli 2:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Sasa mikono yenu na iwe na nguvu, nanyi muwe jasiri kwa sababu bwana wenu Sauli amekufa, na nyumba ya Yuda imenitia mafuta niwe mfalme juu yao.”
-