-
2 Samweli 2:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Kisha Yoabu na Abishai wakaenda kumfuatia Abneri. Jua lilipokuwa likitua, wakafika kwenye kilima cha Ama, kilicho ng’ambo ya Gia kwenye njia inayoelekea katika nyika ya Gibeoni.
-