-
2 Samweli 3:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Wakati huohuo, watumishi wa Daudi na pia Yoabu walirudi baada ya kufanya uvamizi, walileta nyara nyingi sana. Abneri hakuwa tena pamoja na Daudi huko Hebroni, kwa maana alikuwa amemruhusu aende zake kwa amani.
-