-
2 Samweli 3:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Basi Yoabu akaingia kwa mfalme na kumwambia: “Umefanya nini? Abneri alikuja kwako. Kwa nini ulimruhusu aende zake, akafanikiwa kutoroka?
-