-
2 Samweli 3:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Basi Yoabu akaondoka mbele ya Daudi, akawatuma wajumbe wamfuatie Abneri, wakamkuta kwenye tangi la maji la Sira na kumrudisha; lakini Daudi hakujua lolote kuhusu jambo hilo.
-