2 Kulikuwa na wanaume wawili waliosimamia makundi ya wavamizi ya mwana wa Sauli: mmoja wao aliitwa Baana na mwingine aliitwa Rekabu. Walikuwa wana wa Rimoni Mbeerothi, wa kabila la Benjamini. (Kwa maana awali Beerothi+ pia lilihesabiwa kuwa sehemu ya Benjamini.