-
2 Samweli 6:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Pia, akawagawia watu wote, umati wote wa Waisraeli, kila mwanamume na mwanamke mkate wa mviringo, keki ya tende, na keki ya zabibu kavu, halafu watu wote wakaenda zao, kila mmoja nyumbani kwake mwenyewe.
-