2 Samweli 7:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Nami nitakuwa pamoja nawe popote utakapoenda,+ nami nitawaangamiza maadui wako wote kutoka mbele yako;+ nami nitafanya jina lako liwe maarufu+ kama jina la watu maarufu duniani.
9 Nami nitakuwa pamoja nawe popote utakapoenda,+ nami nitawaangamiza maadui wako wote kutoka mbele yako;+ nami nitafanya jina lako liwe maarufu+ kama jina la watu maarufu duniani.