-
2 Samweli 9:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Mefiboshethi mwana wa Yonathani mwana wa Sauli alipofika mbele ya Daudi, mara moja alianguka chini kifudifudi na kumwinamia. Daudi akasema: “Mefiboshethi!” naye akajibu: “Mimi hapa, mtumishi wako.”
-