-
2 Samweli 10:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Ndipo Daudi akasema: “Nitamtendea kwa upendo mshikamanifu Hanuni mwana wa Nahashi kama baba yake alivyonitendea kwa upendo mshikamanifu.” Basi Daudi akawatuma watumishi wake ili wamfariji baada ya kufiwa na baba yake. Lakini watumishi wa Daudi walipofika katika nchi ya Waamoni,
-