-
2 Samweli 10:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 wakuu wa Waamoni wakamwambia Hanuni bwana wao: “Je, unafikiri kwamba Daudi anawatuma wafariji kwako ili kumheshimu baba yako? Je, Daudi hajawatuma watumishi wake ili kulichunguza jiji lote na kulipeleleza na kuliteka?”
-