-
2 Samweli 10:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Waamoni walipoona kwamba Wasiria wamekimbia, wakamkimbia Abishai na kuingia jijini. Baada ya Yoabu kupigana na Waamoni akarudi Yerusalemu.
-