2 Samweli 10:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Lakini Wasiria wakawakimbia Waisraeli; na Daudi akawaua Wasiria 700 wanaoendesha magari ya vita na wapanda farasi 40,000, naye akampiga Shobaki mkuu wa jeshi, akafa huko.+
18 Lakini Wasiria wakawakimbia Waisraeli; na Daudi akawaua Wasiria 700 wanaoendesha magari ya vita na wapanda farasi 40,000, naye akampiga Shobaki mkuu wa jeshi, akafa huko.+