2 Samweli 11:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Jioni moja Daudi aliamka kitandani akaenda kutembeatembea juu ya paa la nyumba ya mfalme.* Akiwa kwenye paa alimwona mwanamke akioga, na mwanamke huyo alikuwa mrembo sana.
2 Jioni moja Daudi aliamka kitandani akaenda kutembeatembea juu ya paa la nyumba ya mfalme.* Akiwa kwenye paa alimwona mwanamke akioga, na mwanamke huyo alikuwa mrembo sana.